Habari guys, Karibuni sana wanafunzi wote ambao mnaaplly vyuo VIKUU na mikopo mwaka huu, Njooni tushauriane kozi nzuri za kusomea, na technique ya kupata mkopo Jiunge na group letu hapo,utapata ushauri na maswali yako yote yatajibiwa https://chat.whatsapp.com/DgtPcVUZ5GHElHyhdRqPX9
hapo relax ...msubir muda watatoa majina ya waliokosea au waliosahau kuambatanisha vyeti na kila kinachohitajika.
so watatoa utaratibu pia jinsi ya kurekebisha hizo taarifa zenu mtaufwata. Kwa saiv just relax an cool down mkuu
siku izi una andika namba ya form four tu ,then matokeo yako yote wanayapata,kwaiyo mwambie aondoe hofu hakuna kipengele icho cha kutuma cheti cha form four kwa njia ya posta