Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jul 31, 2013 #1 wajameni nakuja dar wiki hii nlipenda nipate mwenyeji pande hizo. awe mtoto wa kike uzuri sijalishi cha msingi awe anajielewa katika hizi kitu sio kuleta habari za watu wa darasa la saba
wajameni nakuja dar wiki hii nlipenda nipate mwenyeji pande hizo. awe mtoto wa kike uzuri sijalishi cha msingi awe anajielewa katika hizi kitu sio kuleta habari za watu wa darasa la saba
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jul 31, 2013 #2 Fanya kazi kijana achana na mapenzi.
Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jul 31, 2013 Thread starter #3 kazi nafanya na mapenzi muhimu...... kihesabu tunasema hzu ni mutually exclusive(probability). we differ in everything man..... cool
kazi nafanya na mapenzi muhimu...... kihesabu tunasema hzu ni mutually exclusive(probability). we differ in everything man..... cool