A good dancer knows when to quit

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
1. Timing: Quitting at the right moment can leave a lasting positive impression.
2. Self-awareness: Understanding personal limits and when to exit gracefully.
3. Wisdom: Recognizing that persistence is valuable, but knowing when to stop is equally important.

Jim Collins aliandika kitabu chake ; How the Mighty Fall. Kwenye kitabu hiko he outloned Decline Framework ambapo ndani yake he developed 5 stages of decline. Stage namba 3 ni the most important inaitwa Denial of risk and Peril - ignoring the warning signs and refusing to acknowledge the risk.
Mtu SMARTanapimwa kwa decision skills zake. Maamuzi ya mtu ndio yanatuambia that person is genius.

Albert Einstein alikataa kufanyiwa surgical intervention baada ya hali yake kuwa mbaya In February 1955 akiwa anaumwa abdominal aortic aneurysm- a cardio-vascular condition . He Said it is tasteless to prolong life artificially ; Albert alifariki in April 1955 . Msemo wake maarufu (

“I want to go when I want. It is tasteless to prolong life artificially. I have done my share; it is time to go. I will do it elegantly.”

Kocha wa Yanga SC, Prof Nabil, aliifikisha Yanga mpaka final confederation, akaipa makombe ya kutosha, his name prevailed….afterall, Yanga wakataka kumuongeza dau na muda pia, Nabil alikataa…. Jibu lake lilikuwa ni moja…. I have done my part…. It is time to go …. alifahamu sheria ya good dancer na siku zote unaacha heshima na legacy

My father was a principal officer kwenye Utumishi wa Umma, aliajiriwa in his 20s miaka hiyo: alipofika 46 alifanya 24 hours resignation, ofisi yake ilimshauri endeleea na kazi but alikataa akasema miaka 20 kwenye Utumishi inatosha na sina cha kubadili tena.

Akaenda kufungua his own company ili tuendele kupata ugali. Miaka 3 baadae, Benjamin Mkapa akamteua kuwa DG kwenye moja ya taasisi ya Umma. Five years
In a row. Mzee tena akaibuka na barua ya resignation Tiii mpaka kwa Mkapa akaomba apewe nafasi mtu mwingine maana he has done his share na amefika Maximo kwenye reform ya taasisi na hivyo mawazo mengine yakaribishwe.

Ben akamkubalia na kumwambia nitaendelea kukutumia kwa namna yangu. Mzee akarudi mtaani kufanya maisha mengine.

Haya mambo ya good dancer hufanywa na watu wenye IQ kubwa na wenye kuelewa maana Finity .watu wenye IQ ndogo hawajui maana ya good dancer na ndio sababu kubwa ya mighty fall in most cases.

Mbowe anamiaka 63 , ni umri mkubwa sana kwa binaadam na kwa a good dancer huu ni umri wa kuwa Mwenyekiti wa Heshima na Ushauri leaving the legacy behind; however, Ukiona mtu yupo above 60 anafanya manipulation kulinda cheo…… huyo mwendo ameshaumaliza na ni big sign of low IQ na likelihood ya Mighty fall ni kubwa.

Jim Collins ameeleza wazi warning signs zitaonekana mapema but the Mighty fall outcomes zinaweza kuchukua even two years, but for sure the Company will decline.

Wapo wanaosema anaetaka kuondoka na aondoke, waliondoka wengi na bado tupo, but collin anatuambia, kwenye first stage of decline framework: sababu namba 1 ya Mighty fall ni Hubris Born of Success- Yaani Overconfidence and arrogance stemming from past achievements tukiamini siku zote itakuwa hivi

Kama mbowe amefikia hatua ya kufanya manipulation ya ku decieve watu kuwa analazimishwa kugombea basi shida ipo kubwa na hiyo ni mwanzo wa Chadema Mighty Fall company.

Na Chama kinakwenda kupoteza Utashi, Mvuto na Tija za kisiasa kwa raia wengi wenye akili.

Ni suala la muda,

Dr. Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
 
Basi akili za Kasinde ziko resiii....🤪🤪

Vile napenda kuruka majoka nikaona nimeweza namna ambavyo huwa najua muda wa kuingia dansi na kusepa kuelekea nyumbani ili kukwepa udhia wa mapopo wala ujana....🙄🙄🙄

Kumbe politikisi.... 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️.
 
A good dancer . IQ 100
 
Madini matupu, labda tu liwe ni sikio la kufa halisikii Dawa.
 
Mind set ya muafrica: Over 38 years….. nini hasa amefanya.? He is not a good dancer na hatokufa kwa heshima just as Mugabe ; the current generation will curse him
Museveni anakwambia ukitaka madaraka na wewe ingia msituni kama yeye.
 
Vijana nao wamechoka na watumishi wanaokaa kazini muda mrefu na hakuna changes. Kwangu mimi I would suggest 50 years uwe ni muda wa lazima ku staafu
 

Attachments

  • b3aa7748-ac4d-479a-a7b4-95da7c28b2e0.jpeg
    102.6 KB · Views: 4
Mbowe must go
 
Mbowe must go
 
Mkuu! Nimekukubali! Uchambuzi wako ni wa kisomi!
 
Perfect words, haya Resignation ya kizungu aliifanya pia Edward Lowassa mwaka 2008

Watu wakasema mengi, oooh anaachaje uwaziri Mkuu? Kisa wao wamezoea kuona watu waking'ang'ania madarak
 
Perfect words, haya Resignation ya kizungu aliifanya pia Edward Lowassa mwaka 2008

Watu wakasema mengi, oooh anaachaje uwaziri Mkuu? Kisa wao wamezoea kuona watu waking'ang'ania madarak
Kwa hivyo ccm ishakaa sana nayo iondoke? Mtanzania gani atakuelewa?
 
Madini matupu, labda tu liwe ni sikio la kufa halisikii Dawa.
Mbowe anaishi kwa damu za watu.
Watu wameumizwa hata wengine kufia chama kumbe yeye anakula good time ya ccm ndni ya chadema

Hata kesi zilikuwa drama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…