Bandiko safi! Ila ukiangalia context aliyonayo mbowe na chama kwa ujumla, bado hakuna harmony, though lissu ana determination mbowe anamuina bado hana maturity ya kisiasa na kidiplomasia