stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 216
Point taken"Why does your mother still live with you?
"Why don't you build her a house?"
Cristiano Ronaldo replies :
"My mother raised me and she dedicated her life for me. She would go to sleep hungry, just to let me eat. We had no money at all. She worked 7 days a week & nights as a maid to buy my first shoes so I could be a player.
All my success is dedicated to her and because of her and as long as she has a life, she will always be by my side, she has everything I can give.
She is my refuge and my greatest gift."
View attachment 2572574
Sema hatupendaniAsilimia kubwa ya vijana wanaoishi na mama zao ni team kataa ndoa. Maana wanawake hawapendani ila Georgina akakubaliana na yote kwa moyo mweupe ushujaa mkubwa huo
Hao wanaishi kama wapenzi ila sio wanandoa.Asilimia kubwa ya vijana wanaoishi na mama zao ni team kataa ndoa. Maana wanawake hawapendani ila Georgina akakubaliana na yote kwa moyo mweupe ushujaa mkubwa huo
Hao wanaishi kama wapenzi ila sio wanandoa.
Ronaldo anajivunia kuwa pamoja na mama yake, ila mwanaye kamnyima kujivunia mama yake maana kampata kwa surrogate mother.
Sema hatupendani
Hahaha umejibu kwa hasira sana, haikutakiwa iwe hivyoKuna saa unatafuta attention pasipohusika shosti