A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Yote yanawezekana ila hilo la time travel nahisi ni beyond human capability
Kwa sisi waislamu hivi sio vigeni kwetu ktk Utawala wa Nabii Suleiman aliwaita walio kuwa chini yake akawauliza nani ataweza kuniletea kiti cha enzi cha Balqees akisimama mmoja katika majini akasema nitakuletea kabla ya kukaa ktk chako huyo alikuwa Jini. Mmoja akamwambia nitakuletea baina kupwesa na kupesua yaani blinking eyes huyu alikuwa na Elmu ya Mungu.So hayo mambo ni kweli ni Elmu sisi waislamu tunaita mfano ya simu ya mob jambo linafanyika America muda huo huo unaliona weye ulioko Africa so ni kweli itakuja wakati watu watasafiri kwa muda mchache sana zaidi ya hiyo 30 mnts.
 
Vyote hivyo nimesoma na mengine ya upande wa pili nayafahamu yanavyokua linked na technology ndio maana hua siamini baadhi ya vitu

hakuna uchawi wowote mkuu, everything runs on factories
 
Now days we experience great achievements and revolution in AI Technology around the World.
Je, nini hatima ya Third World Countries katika hii issue ya AI?
Da'Vinci
 
Wazazi himizeni watoto wenu wasome masomo ya fizikia na maths..Computer science ndio imeshikiria usukani wa maendeleo ya dunia. Piga makonzi sana mwanao kama anapenda vishazi
mkuu hapa bongo kazi ni kuimba wimbo ccm ni baba na mama, vitu kaa hizi ni ndoto kwa wabongo wengi, ukimusikia waziri wa fadha anaambia watu wahamie burudi kaa hawataki lipa kodi, kweli huyu waziri hata hapa anaweza elewa nini unaongea? kweli we are far far far very far behind, thanks for the arrticle i use AI in most of my companys work, very very helpful and useful, nice day sir
 
It all started more than 70 years ago in 1944 by two researcher Warren McCullough and Walter Pitts first proposed something known as Neural networks, it was then reinvented by Marvin Minsky and Seymour Papert who are knowns as the fathers of Artificial Intelligence

It all came back around 1980s and started to gain popularity among researchers,
By the year 2000, DEEP LEARNING started to surface but this is all about Artificial Neural Networks
Then we have Artificial Intelligence AI, all these are came from fundamental principle of Neural Networks thus we have Deep Learning which is Artificial Intelligence

But now we have the opposite of DEEP LEARNING which is DEEP FAKES, where by there can be anything or anyone doing something completely different to the facts.

Where by you can be made as something else doing something which is completely different

 
So John Mccarthy hahusiki Kwenye Artificial intelligence??
 
Now days we experience great achievements and revolution in AI Technology around the World.
Je, nini hatima ya Third World Countries katika hii issue ya AI?
Da'Vinci
Daah kwa afrika huku kama kawaida yetu tunasubiria wenzetu wafanye sisi tutapokea mabaki. Ila Artificial intelligence ikianza kutumika at large tutegemee wafrika wengi kufa njaa kwa kukosa kazi maana tunaweza zaidi shughuli za kutumia nguvu. Wakati Artificial intelligence robot ina multitask shughuli zote. Tutakosa kazi viwandani asee
 
Da'Vinci mada zako ziko deep sana. Zinaelimisha. Asante na tafadhali endelea kushare kila upatapo wasaa. Wengi tumejifunza mengi humu.
 
Da'Vinci mada zako ziko deep sana. Zinaelimisha. Asante na tafadhali endelea kushare kila upatapo wasaa. Wengi tumejifunza mengi humu.
Pamoja sana mkuu, Tuendelee kujuzana na kushea machache tuliyonayo.
Pita hapa pia..
 
Yote tisa ila kumi ni kua hizo zote iwe AI awezi kua na mind yaani awezi kufanya ambacho akijawa kwenye system yaani programmed.So ata siku moja AI aitafikia binadamu
 
Yote tisa ila kumi ni kua hizo zote iwe AI awezi kua na mind yaani awezi kufanya ambacho akijawa kwenye system yaani programmed.So ata siku moja AI aitafikia binadamu
Bila shaka huna uelewa na Artificial Inteligence. Ni kweli AI Robots hawawezi kufikia uelewa wa mwanadamu ila AI wanawezakufanya kazi kwa urahisi na haraka kuliko Mwanadamu. Kweli baadhi ya AI haziwezi kufanya kazi nje ya programmed task hizo Al ndio zinaitwa Weak AI, lakini Strong Ai wanaweza kufnaya kazi nje ya programmed task maana imekua programed kujifunza kutenda kila kitu..

Hivi hujawahi kusikia kua baadhi ya robot zimeanza kujifunza ubagudhi wa rangi?? Sasa niambie kama ilikua programmed kufanya ubaguzi au imejifunza yenyewe. Kuna matukio mengi tu yanayielezea jinsi AI Robots walivyokua Rogue.. kikubw ni kua Sisi wanadamu tunakua tunajua ni wapi tumdhibiti robot kama akienda vibaya
 
Daah mkuu unadharau sana alafu kujiona unajua wakati tu umekalili madesa...ROBOT hawana mind.
Ukisema kubagua rangi ni kutokana na mfumo,program na system ulioiwekea.
Hivi kuna Robot anaweza kufanya jambo bila kua set na binadamu?
 
Daah mkuu unadharau sana alafu kujiona unajua wakati tu umekalili madesa...ROBOT hawana mind.
Ukisema kubagua rangi ni kutokana na mfumo,program na system ulioiwekea.
Hivi kuna Robot anaweza kufanya jambo bila kua set na binadamu?
Duuh haya bwana. Siku njema..
Naona you're taking this personal
 
Uzi Murua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…