Je, wewe umeanza kwa kuona nini??? Je, haijakuchukua muda kuwa spot Dolphins?? ukiona hivyo ujue mind yako ipo corrupted, unawaza mapenzi mapenzi muda wote tu! please look outside the box!
sawa bana we sema chochote unachojisikia, lakini ukiangalia vizuri mkononi wa huyo jamaa mnaedhani ni jamaa kamkumbatia mwanamke utamwona Dolphin mmojawapo ( in grey colour). Usiache kunipa feedback ukimwona!!!