A lady with wife material is need now

Hahahaha, hizi shule zetu za ada ndogo tabu. But thanks for appreciation mummy.
 
Uh!! We vingreza visikusumbue lugha za watu hizo, kwanza kajitahidi sana maana wasukuma kiswahili tu taabu. Mie nisiejua kingreza nimesoma pa kiswahili tu.
 
Uh!! We vingreza visikusumbue lugha za watu hizo, kwanza kajitahidi sana maana wasukuma kiswahili tu taabu. Mie nisiejua kingreza nimesoma pa kiswahili tu.
Mkuu umenena vyema sana. Tuko pamoja.
 
ungekua mkurya ningechangamkia fursa.... upate sawa sawa na haja ya moyo wako mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…