Basi kaa bench usijaze foleni.🙂 mh!, mi yangu mbona rst..
We dada nitenge tu, hutoi support kabisa🙂 mh!, mi yangu mbona rst..
Hataki mbughando
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wala liviktoria.
Wamishagha!!!
Hebu msikilize kaka yako.Vinipite tu kwa kweli, sio kwa undugu na Bashite [emoji1] [emoji56] [emoji124]
Safi gete dada.M mola duuh! [emoji126]
So hapendi walimu yeye
Nalendwa na Heaven Sent hebu changamkeni huku, muwahi mapema ili nipate changu. Huu mwaka mgumu sana inabidi niwauze tu sasa!!
Shindwa pepo mchafu
Unaenda pm au huendi?
Jiuze mwenyewe
We mtoto, narudia tena, unakwenda pm au hauendi?
Mwenzanguuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nyie!, eti mtoto anaozeshwa kwa nguvu![emoji23]
Hebu msikilize kaka yako.
Hahaha!, bi mkubwa si mchezo haki ya nani! [emoji23]Mwenzanguuu
For example??Wasukuma wazuri sana
Hapana kila mtu na chaguo lake, wapo wengi wanaopenda wafupi. Usiwakatishe tamaa. Nashukuru kwa kunitakia heri.Haya all the best na wale weusi km mpingo au wafupi nadhani humu jamii forum hawawezi kuolewa[emoji23]
Haya mkuu Mungu akupe wa kufanana nae[emoji132]Hapana kila mtu na chaguo lake, wapo wengi wanaopenda wafupi. Usiwakatishe tamaa. Nashukuru kwa kunitakia heri.
Wakarimu na wana heshimaFor example??