Maguha Majamu
Member
- Jun 13, 2017
- 10
- 0
Wasukuma wazuri sana
Kiaje?Siyo bure
Haaaa haaa Espy.You made my day!Uh!! We vingreza visikusumbue lugha za watu hizo, kwanza kajitahidi sana maana wasukuma kiswahili tu taabu. Mie nisiejua kingreza nimesoma pa kiswahili tu.
Msukuma.Utahamisha Lengo lako ukazane Na salamu za kisukuma.We cheza Na akina Espy. Watakupotezagha!!!Bhabhaa changamukaaa!Ulimola mayu, mahe ikaya
Hahaha, nasikia raha ndugu zangu. Kumbe humu mna umoja mzuri. Asante kwa ushauri.Msukuma.Utahamisha Lengo lako ukazane Na salamu za kisukuma.We cheza Na akina Espy. Watakupotezagha!!!Bhabhaa changamukaaa!
Bwana hizi lugha zingine zinatushusha hadhi. Ndo maana nikaamua kuingia kwenye kiswahili. Lakini ujumbe umefika ama.Wewe mleta uzi kuna ulazima wowote wa kuandika Kiingereza? Maana ulichoandika hapo juu ni tatizo tupu. Umesema una shahada lakini Kiingereza ulichoandika sijui cha nchi gani.
Kibongo bongo kuna mweupe na mweusi lakini kimabara sisi sote ni black people. Asante kwa kunikumbusha.hahaha eti am black but not typical black! kaka hata mimi ni light skin kwa wabongo wataniita mweupe ila huwa naitwa tu mweusi nikiwa popote duniani, sasa wewe unajishaua hapa eti black but not typical black..si ufunguke tu am black jikubali black is beautiful dude!!
Mie sina damu ya ujasiriamali, umri nimeoverqualify, ni mweusi tiiiiiiiiiiiiiii, elimu yenyewe niliishia la tatu!!!Msukuma.Utahamisha Lengo lako ukazane Na salamu za kisukuma.We cheza Na akina Espy. Watakupotezagha!!!Bhabhaa changamukaaa!
Sasa nitafanyaje usawa wenyewe mgumu huu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nyie!, eti mtoto anaozeshwa kwa nguvu![emoji23]
Bwana we hebu acha janja janja we mtoto!!!Ushasema kaka yangu! [emoji1]
Ucjal, hapa ndo baraza la wakuuUkimpata tupe mrejesho .....kila la kheri
Inabidi maana hakuna namna. [emoji2]Sasa nitafanyaje usawa wenyewe mgumu huu!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Bwana we hebu acha janja janja we mtoto!!!
HahahaWanaume tunaanza kuchanganyikiwa sasa.
Haya bana all the best