ndio degree zetu hizo mkuuHiyo tittle ya thread yako sasa, sijui ni kisukuma, sijui ni kinyantuzu. Duh! Mwadeli gawisa bhaba!
sister ake mtu; vipi na wewe ni a lady with wife material?Utapata. Ila hapo pa' A lady with wife material is need now.
Pengine ingekaa MUBASHARA kama ingekuwa .WIFE MATERIAL IS NEEDED HERE!! MARA nyingi kichwa cha habari kinabeba Ujumbe woooote wa ndani.Is just like A cover of a book.That heading of a book tells it all.Sasa Rafiki angu msukuma pamoja Na Lengo lako nzuri Na Ujumbe umefika bila shaka.,but naona.wengi wanavutia Na heading kwa maana Grammatical haijakaa Sawa.So they make fun of you.But,as your sister I wish you the best luck in your choices.
Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall.
Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani.
Kazi: sio lazima awe mwajiriwa coz kuelea kwetu ni moja sifa zetu.
Kimo: mrefu wa wastani.
Rangi: maji ya kunde au mweupe, kwa rangi hizi kwetu ni most wanted.
Kabila: kipaumbele kabila langu au yoyote mwenye maadili yanayoendana na yetu.
Awe na damu ya ujasiliamali. Umri: 25- 30.
Dini: mkristo na kama muislam awe tayari kubali dini.
Elimu: std7 au zaidi
Muhimu: kama maisha ni popote basi hata mwanamke ni popote anapatikana. Wenye kejeli pia wanakaribishwa kuchangia but anaehisi tutaendana, karibu PM right now. Unakaribishwa tujaribu bahati yetu, naamini Mungu atafungua milango ya baraka.
Ahsante.
Mwambie ukweli kuwa wakipenda wanapenda kweliHua nawapenda tu automatically
Tumia kiswahili acha ulimbukeni wa lugha. Sema hivi "IS NEEDED" na sio "IS NEED".Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall.
Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani.
Kazi: sio lazima awe mwajiriwa coz kuelea kwetu ni moja sifa zetu.
Kimo: mrefu wa wastani.
Rangi: maji ya kunde au mweupe, kwa rangi hizi kwetu ni most wanted.
Kabila: kipaumbele kabila langu au yoyote mwenye maadili yanayoendana na yetu.
Awe na damu ya ujasiliamali. Umri: 25- 30.
Dini: mkristo na kama muislam awe tayari kubali dini.
Elimu: std7 au zaidi
Muhimu: kama maisha ni popote basi hata mwanamke ni popote anapatikana. Wenye kejeli pia wanakaribishwa kuchangia but anaehisi tutaendana, karibu PM right now. Unakaribishwa tujaribu bahati yetu, naamini Mungu atafungua milango ya baraka.
Ahsante.
Tanga but niko dar kwa sasa likizo.
- Hujasema makaz yako haswa ni wepi?