Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aya ,mie nilikua nakupasha habar yako tu... Neema[emoji23][emoji23] ebu usinifanye nicheke hapa
Umenipoteza ujue....Fata dictionary hardware chap ...oops bookshop
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na Miss Natafuta hawezi kujaHuu uzi umeharibiwa na lugha tuu
Ndio unaona vile wajumbe wamechekewa kuingia wamefuata kamusi zao kwanza
Even if not a singer or an artistAt a point of love every man become a Poet !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri mtu anitafsirie
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na Miss Natafuta hawezi kuja
Hapo ndio alipokosea sasaHahaha
Katumia mbinu mbaya kumuita Miss nafind kwa ki malkia
Tatizo lugha ilio tumika mkuu... Nani wakutaka kujing'ata kwasababu ya lilugha lililo letwa na jahazi....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Ina maana watu hawauoni huu uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tafsiri basi
Nitashukuru.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha ni deal na kamusi halaf ntakuja kukutafsiria
Tunauona, sema bado tuko tunatafuta mkalimani kwanza. ...maana lugha chonganishi hiyo
Barua imebuma. Hapo ndo unajua kuwa bora ufanye vingine na mapenzi uwaachie wenye nyota zao
Mbona ule wa The Million Team, mliutafasiri....[emoji12] [emoji12]Huu uzi umeharibiwa na lugha tuu
Ndio unaona vile wajumbe wamechekewa kuingia wamefuata kamusi zao kwanza
Naona msimu wa mahaba na mahabati unaendelea JF.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha ni deal na kamusi halaf ntakuja kukutafsiria
Cc: FaizaFoxy...[emoji181]Heee naww kuna uzi wako unasema "" Nikimwona mwili unatetemeka"" ...nenda unasubiriwa kwa hamu
HahahahaNaona msimu wa mahaba na mahabati unaendelea JF.
Shem, huu msimu ukiisha utanishtua nirudi jukwaani kwa sasa wacha nilog out!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntabaki bubu na mie nakwambia.