hahahaMbona ule wa The Million Team, mliutafasiri....[emoji12] [emoji12]
kwannNaona msimu wa mahaba na mahabati unaendelea JF.
Shem, huu msimu ukiisha utanishtua nirudi jukwaani kwa sasa wacha nilog out!
Nawaonea wivukwann
sio kweliNawaonea wivu
Kivipi?sio kweli
wivu wa aina gani unaowaonea ww?Kivipi?
Wivu wa kubebisha hadharaniwivu wa aina gani unaowaonea ww?
oooh! ss wewe unabebishana huko sirini Thad?Wivu wa kubebisha hadharani
Ningekuwa nabebishana huko nisingeona wivuoooh! ss wewe unabebishana huko sirini Thad?
mmmh ss kwann unaona wivu hebu niambie kweli Thad maana hii mara ya pili, last time uliondoka JF usiku wa manane kwa sababu kama hii!!!!Ningekuwa nabebishana huko nisingeona wivu
Wivu ndio ugonjwa wangu mkubwa,umekuwa kama donda ndugu unanikondeshammmh ss kwann unaona wivu hebu niambie kweli Thad maana hii mara ya pili, last time uliondoka JF usiku wa manane kwa sababu kama hii!!!!
tusaidiane...[emoji3][emoji3]
Mmh!Wivu ndio ugonjwa wangu mkubwa,umekuwa kama donda ndugu unanikondesha
Kwa hii comment umeshakosa mke mkuuHiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii