A letter to my darling!

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
6,635
Reaction score
3,656
In the Journal of my heart,
I have written a Journal Entry,
Debiting my love & crediting my affection,
Now Filipo my hubby, you write the Narration.

Your love, is the Capital of our business,
And your voice,eyes are Stock In Trade,
Now let us enter into a Transaction,
Without providing Depreciation.

Your first love I have already indicated,
On the Ledger Folio column,
Any way, our relations are based on,
Double Entry System.

Our love is Real & Tangible,
Which can be realized,
Interest........

I love you hubby!
 
Last edited by a moderator:
Filipo, uko wapi jamani maupendo yamemwagwa just for you.
Niko nae mke mwenza! Amesema huyo marejesho aache kujisumbua manake moyo wake haugawanyiki mara mbili.



Arushaone pole kwa msiba dearest, ukirudi unicheki nikununulie juice cola! Pole sana, tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Dah inakuwaje sijauona huu uzi? marejesho naona umeamua kumtoa Filipo kwenye dimbwi la upweke na mawazo ila nahisi utasababisha ugomvi na sweetlady maana mh sina la kusema.
Vipi Arushaone amereact vipi baada ya kuona imekula kwake?
 
Last edited by a moderator:
haya sasa....mbona sioni trial balance na balance sheet....?

swali la msingi kweli hilo mi nilifikiri iko kwenye attachment?/

Hapa filipo anaibiwa hivi hivi huku akitoa majicho.... ama kweli mbwa kaona chatu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…