Kenneth kache
Member
- Mar 7, 2014
- 38
- 5
History 1 ni mambo ya history ya Africa
history 2 mambo ya Europe
Sikumbuki mtiririko wa topics nimesoma zamani sana enzi za mwalimu
Ila content ni hiyo hiyo....Na syllabus imebadilika.
Ila content ni hiyo hiyo....
history 1 ni mambo ya history ya africa
history 2 mambo ya europe
sikumbuki mtiririko wa topics nimesoma zamani sana enzi za mwalimu
asante saana @ evelyn
Ingia kwenye website ya wizara ya elimu utapata syllabus za masomo yote Advance.