Solve Nelkon 3rd edition kwa physics,,,kuna maswali mengi ambayo paper za ktambo icho zilikua zinatungwa,,chemia,,kwa inorganic & organic soma notce na solve maswali yote kwenye vitabu vile vdgo vya taasisi coz ndo walipo na wanapotoa maswali yao,,,auuuuuu,,tafuta paper za feza boyz na marian galz huwa wanatoa matango ya daina iyo ya kitambo,,,,mwishooo,,,notce za mama shija chemistryyy mpango mzimaHeshima Wadau..
Ni wapi ninaweza nikapata vitabu vyenye maswali na majibu ya mitihani kwa masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia haya kwa takribani miaka 20 iliyopita?!
Nawakilisha nikitanguliza shukrani
Utafel xma kwanza
Kama ulivyofeli wewe ndugu!??
shaur yako me namaliza we ndo unaanza