A-level private candidate

A-level private candidate

Davy2

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
79
Reaction score
7
habari ndugu, hivi kunauwezekano wa mtu kurudia mtihani wa kidato cha sita kwa masomo mawili ya comb yake? Naombeni mnisaidie kupata jibu sahihi tafadhar.
 
yah inawezekana hata ukitaka moja pia inawezekana,
 
Back
Top Bottom