Waungwana Habari! Nina kijana wangu (Male) amemaliza form four mwaka huu na kapata kama ifuatavyo
Civ = B
Hist = C
Geog = C
Kisw = C
Engl = C
Bio = D
Comm = D
B/Keep = D
B/Math = F
Nataka kumpeleka asome mojawapo kati ya comb za Arts shule ya Private lakini boarding. Shule gani zimekaa sawa. Ushauri tafadhari wadau. Mwanetu huyu.