ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Wanajf nisaidieni natafuta sana shule hiyo kwani mdogo wangu anatakiwa ajiunge mwaka huu. A-level private yenye comb ya CBG au CBM mkoani Tabora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New era kuna hiyo michepuo, lakini ufaulu si mzuri hata kidogo. Mim sikushauri umpeleke mdogo wako shule mojawapo kati ya hizo.
Mkuu uko mboka manyema nn?..
Jamaa yeye amehitaji tu shule zenye hiyo michepuo,nadhani performance ya shule siyo kipa umbele kwake,hizo shule ni
kweli ufaulu wake uko chini lakini kutokana na uhaba wa shule za namna hiyo zimekuwa kimbilio la walio wengi mkoani
TBR.
Hapana siko mboka ila ni mwenyeji sana hapo
Hizo shule kwa sayansi sio kabisa labda kwa arts,
Wanajf nisaidieni natafuta sana shule hiyo kwani mdogo wangu anatakiwa ajiunge mwaka huu. A-level private yenye comb ya CBG au CBM mkoani Tabora
Jinsia gani mkuu ?