A level wanapewa notes

A level wanapewa notes

Mim naomba kusaidiwa shule nzuri za A level za private zilizopo Dar es salaam:; Msaada plz
 
Suala la notes inategemeana na mwalimu husika, ni haki yako kupewa notes ila kama ukichaguliwa shule za serikali jiandae kutafuta notes.
 
Mimi nafundisha a-level english language two shule ya serikali,, wanafunzi wangu nawapaga notes.
 
Nisaidieni nijiandae je A level tutakuwa tunapewa notes kama tulivyokuwa twapata o level?

nini faida zake?
zipo hasara za kupewa notes?
ukweli ni upi

msaada tafadhar

notes mnapewaa bt material binafsi ndo mpango mzima
 
Nisaidieni nijiandae je A level tutakuwa tunapewa notes kama tulivyokuwa twapata o level?

nini faida zake?
zipo hasara za kupewa notes?
ukweli ni upi

msaada tafadhar
kupewa notes maana yake nini? kama mwalimu anafundisha si unatakiwa ukopy anachokiandika ubaooni au unataka ulalale usiandike notes ili baadaye akupe ukatoe copy?
 
Back
Top Bottom