let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Baada ya Miaka 53(1968- 2021) ya utumishi wa kiroho Nchini Kenya Father Adolf Omagaka Poll, almaarufu "Father Alleluia".
Anapakia mizigo yake binafsi kwenye vibegi vidogo kwa ajili ya kurudi Nyumbani kwao Italy kwa ajili ya kustaafu.
Anapakia mizigo yake binafsi kwenye vibegi vidogo kwa ajili ya kurudi Nyumbani kwao Italy kwa ajili ya kustaafu.