A-List of celebrities in Bongo

A-List of celebrities in Bongo

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Unajua nimekaa nimefikiria weee lakini wapi! Hivi bongo kuna A list celebrity gani ? Kwa A list namaanisha yule ambaye hawezi kwenda sehemu bila kuzongwa na mashabiki na paparazzi. Nani yupo kwenye hii category bongo....
 
NN wewe ni mmoja wao, watu wanakuzonga sana humuu ukumbini, rafiki yako Fundi atatokea sasa hivi...
 
NN wewe ni mmoja wao, watu wanakuzonga sana humuu ukumbini, rafiki yako Fundi atatokea sasa hivi...

Mimi sio celebrity bana....I like to shy away from the limelight...don't like it at all....
 
Wabongo hatufagilii mtu! Hiyo ya kuzongwa na watu itakua ngumu sana.
 
Wabongo hatufagilii mtu! Hiyo ya kuzongwa na watu itakua ngumu sana.

kwa nini iwe ngumu? hivi unadhani Usher au Bey wakiteremka bongo sasa hivi na waende kujivinjari pale Mlimani city hawatazongwa na washabiki?
 
ninavyosikia ni big deal uswazi...

Labda uswazini haswa maana tunawaona mitaani na hakuna anayewapapatikia.Wanaozongwa ni Ze Comedy tena wakati wakiwa wana perform viwanja vya wazi.. ila sijui hiyo ndiyo u List A celebrity au la!
 
kwa nini iwe ngumu? hivi unadhani Usher au Bey wakiteremka bongo sasa hivi na waende kujivinjari pale Mlimani city hawatazongwa na washabiki?
Nilikua namaanisha hatufagilii wabongo wenzetu, hasa wale local.
Thabeet anaweza akawa A-list celeb wa kwanza bongo.
 
Nilikua namaanisha hatufagilii wabongo wenzetu, hasa wale local.
Thabeet anaweza akawa A-list celeb wa kwanza bongo.

Kweli aisee...dogo anaweza akawa wa kwanza akibahatika kusajiliwa.

Vipi bongo, tunao groupies?
 
Duh! Kamanda inaonekana Bongo umetoka kitambo sana...!

Hahahahaha...Kamanda, bongo nimeondoka longi lakini ni kama sijaondoka vile...si unajua tena dunia ya sasa ndogo. Mtu unaweza ukaenda bongo Labor day weekend na kurudi jumatano...get what i'm sayin?

Huyo Amina kama sikosei alikuwa miss flani hivi...
 
Kweli aisee...dogo anaweza akawa wa kwanza akibahatika kusajiliwa.

Vipi bongo, tunao groupies?

Hao babu ndio usiseme.
Ukirudi bongo utashangaa hata mademu usio wajua wanakuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home.
Kuna machangu na groupies wengi mno.
 
Hao babu ndio usiseme.
Ukirudi bongo utashangaa hata mademu usio wajua wanakuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home.
Kuna machangu na groupies wengi mno.

true true mazee....mtu kama udhaifu wako ni kumega unaweza ukafa kabisa...
 
Back
Top Bottom