Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
NN wewe ni mmoja wao, watu wanakuzonga sana humuu ukumbini, rafiki yako Fundi atatokea sasa hivi...
bongo flava...
Wabongo hatufagilii mtu! Hiyo ya kuzongwa na watu itakua ngumu sana.
A list celebrity at the time i could say marehemu Amina Mongi.
ninavyosikia ni big deal uswazi...kwa hiyo wasanii wa bongo fleva wanaweza wakasababisha pandemonium...?
ninavyosikia ni big deal uswazi...
ninavyosikia ni big deal uswazi...
Nilikua namaanisha hatufagilii wabongo wenzetu, hasa wale local.kwa nini iwe ngumu? hivi unadhani Usher au Bey wakiteremka bongo sasa hivi na waende kujivinjari pale Mlimani city hawatazongwa na washabiki?
A list celebrity at the time i could say marehemu Amina Mongi.
Nani huyu?
Nilikua namaanisha hatufagilii wabongo wenzetu, hasa wale local.
Thabeet anaweza akawa A-list celeb wa kwanza bongo.
Duh! Kamanda inaonekana Bongo umetoka kitambo sana...!
Kweli aisee...dogo anaweza akawa wa kwanza akibahatika kusajiliwa.
Vipi bongo, tunao groupies?
Hao babu ndio usiseme.
Ukirudi bongo utashangaa hata mademu usio wajua wanakuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home.
Kuna machangu na groupies wengi mno.