A lot of men are going for Plus sized Women nowadays

Mie nikiona mwanamke au mwanaumr mbonge bonge, kitu cha kwanza kinachoniijia kichwani ni ana afya mbovu, hana discipline, hajipendi. Kama anajipenda atalinda afya yake na ubonge ule wa minyama nyama means hali kwa mpangilio, anakula alot of sugar wanga mwingi na vitu vilivyokuwa processed, wala hafanyi physical activities nyingi
 
Kweli mkuu.
Nikiwa na mazoezi na kuwa makini ninachokula ninakuwa na mwili mzuri sana.
Nikiacha tu mazoezi ninapata kitiba tumbo hata pumzi zinapungua.
Kipindi cha mazoezi na ratiba ya mlo ni kipindi ambacho ninakuwa na ratiba nzuri sana ya maisha.
Ninaamka mapema sana na kupumzika mapema pia.
 
mshamba_hachekwi
 
Being chubby or plus size is not a sickness. It's just being big bold and beautiful. People find it easy to body shame plus size women. They are quick to call them "fatty bum bum"
They are so sweet
 
Bonge nyanya aaah wapi? Hao wenyewe wametamani sana kupungua sema ndo imeshindikana...
Wanatudanganya eti 'wanapenda unene'

Wangependa unene hao wauza madawa ya kupunguza uzitoo huko mitandaoni wasingejazana kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…