Dah!! Mimi mwenyewe nimeshtuka kusikia kifo cha mshikaji REST IN PEACE NATE DOGG najua alifanya kazi nzuri sana na DRE NA SNOOP nakumbuka alikuwa kwenye track ya Dre inaitwa KUSH.
Umenisumbua sana na hii avatar yako,bado robo dakika tuu nivunje display ya laptop yangu kwa kutaka kuua haka kamdudu,poa bwana apumzike kwa amani!!This is a BIG loss to the Hip Hop Community.....his song, 'I Need a Bitch' is amazing.....
Kwaheri ya kuonana Dwayne Nathaniel...
Ntakukumbuka daima ktk nyimbo ulizoshiriki kama Regulate, next episode, area code, multply, Lay Low, na nyingine nyiiingi.
hakika Dunia imempoteza mfalme wa Chorus...
Kwaheri ya kuonana Nate Dogg