Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nimemsikiliza home boy wangu FID Q akihojiwa na salama akaelezea namna washindi wanavyoteuliwa kwenye tuzo za kili awards, nikiunganisha na hii + Mamiss wetu+Bongo Star Search.
Malalamiko miongoni wa washiriki ni mengi, expectations za sisi wadau huwa zinakuwa blown up vibaya sana.
Nafikia hitimisho kwamba, hawa waandaaji waanze kutumia independent referees, au la kama ni public inapiga kura basi utumike mfumo huo peke yake, na weights za kila criteria zionekane
ama sivyo disappointments zitakuwa nyingi sana.
ugumu wa maisha unatosha, hadi kwenye entertainment nako tunazinguana tena.
siangaliagi hiki kipindi
siangaliagi hiki kipindi
mtu mwenye akili timamu hawezi kuangalia upuuzi kama huu.
Ulijuaje kama ni upuuzi bila kuuangalia?
Ushoga ni mbaya,je unahitaji kuwa shoga ili ujue ubaya wake?
ushoga ni mbaya kwako lakini, wale mashoga ukiwaambia mbaya mnakosana, kwao burudani. So kipindi kile japo nami nilikiona kibaya, siwezi kugeneralize, kuna waliokipenda na kwao huwaambii kitu.Ushoga ni mbaya,je unahitaji kuwa shoga ili ujue ubaya wake?
Ushoga ni mbaya,je unahitaji kuwa shoga ili ujue ubaya wake?