Juzi nimemsikiliza home boy wangu FID Q akihojiwa na salama akaelezea namna washindi wanavyoteuliwa kwenye tuzo za kili awards, nikiunganisha na hii + Mamiss wetu+Bongo Star Search.
Malalamiko miongoni wa washiriki ni mengi, expectations za sisi wadau huwa zinakuwa blown up vibaya sana.
Nafikia hitimisho kwamba, hawa waandaaji waanze kutumia independent referees, au la kama ni public inapiga kura basi utumike mfumo huo peke yake, na weights za kila criteria zionekane
ama sivyo disappointments zitakuwa nyingi sana.
ugumu wa maisha unatosha, hadi kwenye entertainment nako tunazinguana tena.