A New Constitution before 2015 is A MUST - NO COMPROMISE

mkuu.... ninashangaa sana unapolinganisha level ya democracy na type of constitution kati ya USA na United Republic of Tanzania...... kweli kuna wasomi micharuko

do I need to say more?
 


karibu tena we really missed you.
thank you for this.
 

Na kwa bahati mbaya kwa CCM hata hela za kuendeshea nchi hawana wamezikabidhi kwa mafisadi kama DOWANS na wengineo........hivyo wanategemea wafadhili wawasaidie kuziba mashimo.............JK mwenyewe kwenye kampeni zake alikiri kuwa bila ya misaada ahadi zake ni hewa..............................sasa wafadhili wamelonga TZ must have an all inclusive new constitution....sasa CCM watapumulia wapi na huku raia nao tunadai kitu hicho hicho..........................hatutaki la ziada...........................
 
Mimi nafikiria sasa kupumzika kulog in kwenye JF maana imevamiwa, sasa jinga jinga kama hili utaliweka kwenye kundi gani? sichangii chochote naomba asome tu signature yangu.
mkuu,
wavamiaji wengi wamebeba majina ya kike lakini wanazungumza kama milevi ya kiume!! duu..
 
Mzee Mwanakijiji,

maneno juu ya msitari...lakini unayemwambia ametia pamba masikioni! Pia anajua anaongoza makondoo..kazi kweli kweli.
vipi umma utaacha ukondoo? vipi tunaweza kuziondowa pamba za masikio za wanaongoza serikali?
kwa kuandika mitandaoni ? Itatuchukua miaka mingapi?
Dai hili lipo tokea 1992.......hatujachoka kusubiri?
 

Katiba yao iliandikwaje na substance yake inalingana kwa kiasi gani na hii ya kwetu on fundamental constitutional principles? au unalinganisha TU kwenye idadi ya orodha ya mabadiliko?
 

Kaka,

This is exactly what I am worried. Kwa jinsi hawa jamaa zangu wa CUF, NCCR, CHADEMA na wengineo wanavyopigana vikumbo kuhodhi hii ajenda ni wazi mwisho wa siku tutakuta umechakachuliwa kiasi ya kwamba kila anayeongea ajenda hii ataonekana anawakilisha maslahi ya kisiasa ya hawa na sio wale(Katika sura ya vyama ama hata dini). No wonder unasikia sauti kutoka upande mwengine zinakuwa timidly in style kwani wapo wanaogopa kuona wanaonekana ni agentsmakuwadi wa wengine lakini pia wapo ambao wako convinced kuwa kuongelea hilo kwa sauti kubwa ni sawa na kutumika kuhalalisha maslahi ya kisiasa ya watu na makundi fulani ya kisiasa na kijamii.

Ni muhimu kuwaambia wazi hawa jamaa zetu...STOP POLITICAL EXPEDIENCY on every issue....at least this one.
 

Keep worrying, the train has just left seeya when you get there!!!!
 

Mkuu, hapo ndipo unapopotoka. watu wanapozungumzia KATIBA hawazungumzi kama wanachadema, CUF, CCM au chama chochote. Sasa wewe nahisi unataka kupindisha mjadala. Hoja hapa ni kwamba yeyote awaye yote asichezee mawazo ya watanzania na kuwabeza maana watanzania wa leo sio sawa na wale wa 1977 wakati CCM ilipokuwa inazaliwa au kabla ya hapo. Shida iliyopo ni kwa chama tawala ambacho kwa bahati mbaya sana ndiyo CCM yenyewe inataka kuifanya KATIBA kama vile ni mali yake binafsi. Viongozi wake wamesikika wakiropoka kama zamani tu, kwamba wataendelea kuweka viraka kwenye katiba iliyopo, na wengine wanasema kuandika katiba mpya ni sawa na kuipindua nchi.....mawazo kama ya mwenda wazimu vile ingawa anayenukuliwa kuyatamka anaheshimika vizuri sana, inaelekea amerogwa kama wagalatia waliodhani swala la kuokoka ni la wayahudi peke yao wakidhani Mungu ni hati miliki yao.

Hebu tuzaliwe upya kiakili sasa na tuzungumze na kufikiria juu ya katiba kama watanzania na wala sio wanachama wa chama fulani. Ikumbukwe watanzania wengi sana hawaambatani na chama chochote kwa sababu zao nzuri sana, na huo sio ukafiri. Hata mimi sio mwanachama wa chama chochote, lakini chama kikija na hoja ya manufaa kwa nchi nakiunga mkono tena waziwazi lakini kadi yao sina. Uhuru wangu ni mali zaidi kuliko kuwa kwenye chama fulani, ndio maana katiba mpya nataka itutambue na sie kwamba tupo na tunaweza kuchagua na kuchaguliwa kuiongoza nchi, maana nchi kwanza na chama ni hiari ya mtu. Hakuna chama kilicho kitakatifu, vyote vimeoza pia, Tanzania inasimama ngangari na itatetewa kwa kila hali. Hiyo Tanzania ndio inayotakiwa kuandikiwa katiba mpya yenye kukidhi matakwa ya kila anayeishi humo ndani bila kujali chama anachotoka.

Watu wanajadili mambo ya maana lakini kuna walevi wanajitokeza kubadilisha uelekeo wa upepo, washindwe na kulegea kabisa! Wanaoziba midomo ya watu wanaotoa mawazo yao mimi nawaona kama punguani vile, maana wanadhani wana haki zaidi kuliko wengine. Kama mtu anadhani hana kitu cha kuchangia sielewi kwa nini alazimike kuandika na kuanika umbumbumbu wake hapa jukwaani ambapo dunia nzima inamuona hata kama anatumia jina bandia.

Heri mimi sijasema. Katiba mpya hoyeeeeeeee!
 
Tuanze na upungufu wa katiba iliyopo

And then Rationale for new constitution

Wananchi watapima ipo bora iliyopo au zamani au siyo?

I hope tuta vote end of the day
 
Tuanze na upungufu wa katiba iliyopo

And then Rationale for new constitution

Wananchi watapima ipo bora iliyopo au zamani au siyo?

I hope tuta vote end of the day

Kinyaa
 
We have to extend this argument from just a mere demand for a "new constitution" but it has to be more than just "new"! What we need is a better constitution than what we have now. Then the question need to be formed: "do we have a Constitution that is meeting our needs as a people and as a democracy?"
 
Mwanakijiji,

Nafurahi sana kukuona tena LIVE. Itabidi kesho ni niwasiliane na nduguyo Mwakalinga (undugu wa JF) maana alinipigia simu kukuulizia. Ukiweza basi mwandikie kiujumbe mapema kuwa ulisafiri na kurudi salama usalimini.

Tukirudi kwenye KATIBA, nafikiri katiba mpya ni haki yetu.

Haki haiwezi kuzuiliwa. Watakachofanya ni kuichelewesha tu. Watabana na mwisho wataachia.

Wakijifanya wana FFU na TISS basi wakumbuke kuwa hata Warusi walikuwa na KGB, Spetsnaz & Red Army.

People Power itafanya kazi yake na KATIBA itabadilishwa na uchaguzi HURU kufanyika.
 
Pamoja na maneno matamu ya Rais Kikwete leo, ukweli unabakia pale pale kuwa hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi ujao na Katiba ya sasa; kwa hiyo tunaposema Katiba mpya no compromise, maana yake ni pamoja na ukweli kuwa we are not compromising on the issue of "when".
 

Haiwezekani kabisa Katiba mpya kupatikana kabla ya 2015.

Kukubali kuwepo kwa katiba mpya ni mtaji wa ushindi wa CCM kwa uchaguzi 2015, mchakato utakapokuwa unaendelea. Mabadiliko ya Katiba na kupatikana kwa Katiba mpya ni mtaji ya CCM kushinda urais wa 2020.
 
Pole pole wazee; mwelezeni kuwa tatizo la katiba yetu ya sasa haikidhi mahitaji na maslahi ya watanzania wa leo. Kwa maana hiyo ni katiba mfu ambayo inatumiwa vibaya na baadhi ya wenzetu kwa maslahi yao. Katiba mpya sisi wengine tunataka ikidhi mahitaji na maslahi ya kila mtu, kila kundi na kuweka misingi ya utaifa.
 
now the biggest project ahead is time...., ? time will tell if JK is morally promising
 

Point noted and taken. Mwanakijiji ataishughulikia.
 

We don't need amendments we need a New constitution, we are very vocal on this ( not AMENDMENTS ) & Don't compare USA constitution with
ours, USA they know what they are doing for betterment ot their citizens, & we are very very different with USA when you talk of constitution
let's have a New Constitution that fits us, not single party, or person( i.e Presidents & his powers), this is UNFINISHED BUSSINESS yet, NEW no AMENDMENTS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…