A new gooner!

A new gooner!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Hello wana jf na hasa wale mashabiki wa chama la ukweli lenye soka ya ukweli,hapa simaanishi kingine zaidi ya ghala la silaha,ARSENAL,please welcome mr JAGUARPAW
 
karibu sana....VIVA ARSENAL

kwa niaba ya Balantanda,Arsene Wenger,Mbu,Questt na wengine wengi nakukaribisha sana....:juggle:
 
Karibu sana mpiga bunduki......Karibu sana Ashburton Grove
 
Karibu sana mkuu, tushaudondosha utafutaji wa uefa champs, Carling cup. Tumebaki na mawili, na kesho tuko majaribuni kutafuta fa na badae tuendelee na mchakamchaka wa Barclay's!
 
Back
Top Bottom