Hello wana jf na hasa wale mashabiki wa chama la ukweli lenye soka ya ukweli,hapa simaanishi kingine zaidi ya ghala la silaha,ARSENAL,please welcome mr JAGUARPAW
Karibu sana mkuu, tushaudondosha utafutaji wa uefa champs, Carling cup. Tumebaki na mawili, na kesho tuko majaribuni kutafuta fa na badae tuendelee na mchakamchaka wa Barclay's!