A New Ladies undewear shop opened recently in Zanzibar

A New Ladies undewear shop opened recently in Zanzibar

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Katika pita pita nimeona hili duka jipya huku Zanzibar maeneo ya Darajani unaweza angalia picha.


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • saudi.jpg
    saudi.jpg
    24.4 KB · Views: 436
  • saudi1.jpg
    saudi1.jpg
    27 KB · Views: 398
Maelezo kidogo mchungaji!!Kwahiyo kaka zetu wanachungulia midoli kwa sababu ni adimu kuona hivyo????
 
is this zanzibar??? na mavazi yao huwa pia wanavaa hivyo hao wanaume???
 
This made me smile, though its not Zenji.... anyway its good though....., very funny must be a clip from a comedy.
 
Naona jamaa wanatafutia appetite wakirudi majumbani kwao kazi moja tu.

Hapo akipita kwa Amijei apige ulojo na pweza aaah watamtambua
 
Naona jamaa wanatafutia appetite wakirudi majumbani kwao kazi moja tu.

Hapo akipita kwa Amijei apige ulojo na pweza aaah watamtambua

Heri ya mwaka mpya mpwa! Naambiwa hangover imegoma kukutoka.
 
Hope watapata size safi kabisa maana wanajua kuchagua..ha ha ha..
 
Halafu najaribu kujiuliza kwann wameconcetrate kwenye DUKA 1 tu wakati naona kuna mengine pembeni??!!
Huyu jamaa ambaye hana kanzu ana MWENZA kweli au anamsaidia BULAZA wake??!!

halafu jamaa noma mpaka waziguse Teh teh teh ...
 
Back
Top Bottom