This made me smile, though its not Zenji.... anyway its good though....., very funny must be a clip from a comedy.
Darajani hapo Zenj!
Wanawatafutia wenzi wao zawadi bana!
Hope watapata size safi kabisa maana wanajua kuchagua..ha ha ha..
Sio size tu bulaza hadi MATERIAL yake yatakuwa BOMBA huoni jamaa hadi anazgusa!!!
halafu jamaa noma mpaka waziguse Teh teh teh ...