A new low for fake news CNN

A new low for fake news CNN

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
TF is wrong with CNN?

Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto.

Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine.

Pia, alikuwa ni CNN’s chief legal analyst.

New Yorker walimfukuza kazi. CNN naona walimsimamisha kazi, nadhani.

CNN wameishiwa kiasi cha kumrudisha tena mtu anayepiga punyeto hadharani?!!! Tena anapiga punyeto wakati wa kazi!!!

Huyu jamaa ni Democrat. Angekuwa ni Republican au mtu mwenye leanings za Republican, asingerudi.

Double standards. Ni kama yule mtoto wa Biden ambaye imejulikana huwa analitumia the N word lakini hakuna uproar yoyote ile.

Imagine ndo ingekuwa ni mtoto wa Trump analitumia hilo neno….

Watu wa mlengo wa kulia na wenyewe wajitahidi kuwa na vyombo vingi vya habari na wawe aggressive pindi hawa wanafiki wanapokosea. Kwa mfano nilitegemea hawa Republicans wangekuwa na mpango wa kudeal na mitandao ya kijamii sababu inawakandamiza lakini hakuna kitu kama hicho. Demokrasia ya Marekani mara nyingi huwa siielewi.
 
Huyo jamaa kapinda kweli! Yaani anafanya hayo Zoomuni!!
Yup! He is a creep!

Halafu akiwa CNN anaongea na kuwananga watu utadhani yeye ni muadilifu sana.
 
He made a mistake. He thought that no one will notice what he was doing but unfortunately one lady was so curious and she knew what was going on and made the decision to expose him in public. He apologized and CNN made the decision to forgive him.
 
TF is wrong with CNN?

Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto.

Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine.

Pia, alikuwa ni CNN’s chief legal analyst.

New Yorker walimfukuza kazi. CNN naona walimsimamisha kazi, nadhani.

CNN wameishiwa kiasi cha kumrudisha tena mtu anayepiga punyeto hadharani?!!! Tena anapiga punyeto wakati wa kazi!!!

Huyu jamaa ni Democrat. Angekuwa ni Republican au mtu mwenye leanings za Republican, asingerudi.

Double standards. Ni kama yule mtoto wa Biden ambaye imejulikana huwa analitumia the N word lakini hakuna uproar yoyote ile.

Imagine ndo ingekuwa ni mtoto wa Trump analitumia hilo neno….

Mama naye nunda mla watu
 
All mistakes are not created equal.

Yaani anapiga punyeto muda wa kazi akiwa kazini?Hana hata self control ya kusema asubiri kidogo mpaka atapomaliza kazi zake?

Who does that??!!

Halafu akiwa hapo CNN huwa anawananga sana watu walio na mrengo wa kulia kisiasa utadhani yeye ndo paragon of virtue.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hahahahaha halafu ana Mke sasa!! Unapigaje nyeto huku una mke!? Wiki mbili za kwanza tangu arudi CNN alikuwa hana confidence kabisa kila alipokuwa akiongea alikuwa anajikanyagakanyaga sana. New Yorker wamemfukuza.

All mistakes are not created equal.

Yaani anapiga punyeto muda wa kazi akiwa kazini?Hana hata self control ya kusema asubiri kidogo mpaka atapomaliza kazi zake?

Who does that??!!

Halafu akiwa hapo CNN huwa anawananga sana watu walio na mrengo wa kulia kisiasa utadhani yeye ndo paragon of virtue.
 
Anasema hakua anajua kama camera ya zoom call yake ilikua on...
 
TF is wrong with CNN?

Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto.

Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine.

Pia, alikuwa ni CNN’s chief legal analyst.

New Yorker walimfukuza kazi. CNN naona walimsimamisha kazi, nadhani.

CNN wameishiwa kiasi cha kumrudisha tena mtu anayepiga punyeto hadharani?!!! Tena anapiga punyeto wakati wa kazi!!!

Huyu jamaa ni Democrat. Angekuwa ni Republican au mtu mwenye leanings za Republican, asingerudi.

Double standards. Ni kama yule mtoto wa Biden ambaye imejulikana huwa analitumia the N word lakini hakuna uproar yoyote ile.

Imagine ndo ingekuwa ni mtoto wa Trump analitumia hilo neno….

CNN is very destructive
 
Back
Top Bottom