ukitukana umu yaani kabla mods hawajakupiga bun tushakupa makavu utaiona jf chungu
ila uwe nakifua maana humu kuna wazima(lakini wamejitoa ufahamu") lakini pia kuna ambao sio wazima kabisa hivyo ukileta post yako usitegemee majibu malaini tu kuna ambalo utapewa utalala wiki 3 unaliwaza.
Cc mshana jr