Punguza u serious na watu wa mtandaoni, kila mtu ana mapito yake,, wengine wana maumivu ya kutendwa kihisia na kimwili,, wakapata traumaKazi yangu nikumpa ushauri mtu awe kwenye njia sahihi suala la kuchukua au kutokuchukua lina baki kuwa lako any consequences zinabaki kuwa yako mostly sio anaekukoboa au wanakuzunguka
Kilichobaki ni kijana tu kuwa mwanaume pale huyu atoe "YES"yake...Nimesoma haraka docta nikijue mbele kuna scene ya kimasihara nianze kushangaa!!!!!
But kijana umemuelezea vizuri sana
Ukiipenda wewe inatosha, punguza ushauri kwa watu usiowajuaMboo ilivyo tamu na yenye joto wewe unaangaika na wanawake wenzio huoni kwamba una kitu unakosa
We acha uongo, lini na wapiiiiiiii, unajua raha ninazopata lakini???huyo mwenyewe aliwahi kusema anataka kuacha humu jamvini lakini kashindwa
Wewe ulishawahi kufanyiwa hayo!!!?? umeongea kwa uzoefu wa hali ya juuNot enough ulitaka akutombe ndio iwe siku imekamilika au ulitaka uende Kumuingizia vidole mkundunih .? Mana kwa lesbian hua mkikutana na men kitandani mnapenda sana kuwa control na kuwaingizia vidole kunduni, na hapo unakuta jamaa hatombi ng'oo , mana Kuna jamaa mmoja kule X(Twitter ), msg zake zilifumwa kua anapenda kunyonywa kinyeo na manzi ...will that be enough?
Sio rahisi, nalinda sana kiarage changu.... lolDr nikajua umekwisha 😹
Kama yupo Tanga ni huyo, heheheOooh kuna crush wangu ana meno meupe na fizi nyeusi
Sijui kwanini amezivomea mbhooo kabisa hahaNimesoma haraka docta nikijue mbele kuna scene ya kimasihara nianze kushangaa!!!!!
But kijana umemuelezea vizuri sana
Ukiwa unaishi kwa trauma na ukaikubali hiyo hali itawale kwenye maisha yako au ukariri maisha kwamba wanaume wote ni wabaya inamaana huyo mtu hawezi kupona kamwe watu kama sisi tupo social media ya kusaidia jamii pale ambapo tunaona tunaweza kushauri kwasababu tuna hiyo nafasi. Kwenye haya maisha Kuna njia mbili za kujifunza mambo moja, kujifunza kwa njia rahisi hii inamaana kuwa na taadhari kwa kujiepusha na vitu vitavyokufanya uingie kwenye hatari au kukuletea madhara.Njia ya pili kujifunza kwa njia ngumu hii inatokea baada ya athari imejitokeza na Kuna kauli zinaibuka ningejua nisingefanya hivi au nisingeishi kwenye maisha haya.Punguza u serious na watu wa mtandaoni, kila mtu ana mapito yake,, wengine wana maumivu ya kutendwa kihisia na kimwili,, wakapata trauma
Mfano mtu aliyebakwa akiwa mdogo na asipate msaada wowote kutoka kwa ndugu au jamii inayomzunguka, huyo atachukia mwanaume yoyote anaepita mbele yake,,wanasema don't judge the book by its cover right,, hivyo ndivyo ilivyo
Hiyo sio raha ni laana I am sorry kusema hivyo ila lazima tuambizane ukweli, Ukweli unakawaida ya kuumia ila ni tiba toshaWe acha uongo, lini na wapiiiiiiii, unajua raha ninazopata lakini???
Kijana wa namna hii ambaye ameshinda Kula mzigo ni vijana wenye mchango mdogo saana Kwa taifa.Nimesoma haraka docta nikijue mbele kuna scene ya kimasihara nianze kushangaa!!!!!
But kijana umemuelezea vizuri sana
Pole sana kaka, unatumia kinywaji gani nikununulie upunguze hasira na uchungu ulionao jamaniii,Ukiwa unaishi kwa trauma na ukaikubali hiyo hali itawale kwenye maisha yako au ukariri maisha kwamba wanaume wote ni wabaya inamaana huyo mtu hawezi kupona kamwe watu kama sisi tupo social media ya kusaidia jamii pale ambapo tunaona tunaweza kushauri kwasababu tuna hiyo nafasi. Kwenye haya maisha Kuna njia mbili za kujifunza mambo moja, kujifunza kwa njia rahisi hii inamaana kuwa na taadhari kwa kujiepusha na vitu vitavyokufanya uingie kwenye hatari au kukuletea madhara.Njia ya pili kujifunza kwa njia ngumu hii inatokea baada ya athari imejitokeza na Kuna kauli zinaibuka ningejua nisingefanya hivi au nisingeishi kwenye maisha haya.
NB:Kwenye haya maisha si kila kitu ujaribu inabidi Kuna vingine vikupite for the better of your heart unaweza ukahisi vitakupa furaha au raha ni kweli vinaweza kukupa raha au furaha lakini ukapata hizo raha kwa muda mfupi lakini ukapata damage ya muda mrefu Sasa kazi inabaki kuwa kwako kusuka au kunyoa ?
Utajijuuuuu, kila mtu ashike laana zake, upoooo?Hiyo sio raha ni laana I am sorry kusema hivyo ila lazima tuambizane ukweli, Ukweli unakawaida ya kuumia ila ni tiba tosha
Wala Sina hasira mama angu ni kupeana tu ushauri kwaajili ya kujengaPole sana kaka, unatumia kinywaji gani nikununulie upunguze hasira na uchungu ulionao jamaniii,
It's weekend let's vibeeeeeeee
Nafasi bado ipo ni wakati wakuamua njia sahihi ya kupita kwenye mrembo unataka kuniambia Huna Mpango wowote wa kuwa na mtoto?Utajijuuuuu, kila mtu ashike laana zake, upoooo?
Sijakuomba ushauri lakini, usijipe umuhimu kwa watu usiowajuaNafasi bado ipo ni wakati wakuamua njia sahihi ya kupita kwenye mrembo unataka kuniambia Huna Mpango wowote wa kuwa na mtoto?
Nitasoma kesho aisee nilivyochoka siwezi hata kusoma huu mwandiko mrefu hiviUkiwa unaishi kwa trauma na ukaikubali hiyo hali itawale kwenye maisha yako au ukariri maisha kwamba wanaume wote ni wabaya inamaana huyo mtu hawezi kupona kamwe watu kama sisi tupo social media ya kusaidia jamii pale ambapo tunaona tunaweza kushauri kwasababu tuna hiyo nafasi. Kwenye haya maisha Kuna njia mbili za kujifunza mambo moja, kujifunza kwa njia rahisi hii inamaana kuwa na taadhari kwa kujiepusha na vitu vitavyokufanya uingie kwenye hatari au kukuletea madhara.Njia ya pili kujifunza kwa njia ngumu hii inatokea baada ya athari imejitokeza na Kuna kauli zinaibuka ningejua nisingefanya hivi au nisingeishi kwenye maisha haya.
NB:Kwenye haya maisha si kila kitu ujaribu inabidi Kuna vingine vikupite for the better of your heart unaweza ukahisi vitakupa furaha au raha ni kweli vinaweza kukupa raha au furaha lakini ukapata hizo raha kwa muda mfupi lakini ukapata damage ya muda mrefu Sasa kazi inabaki kuwa kwako kusuka au kunyoa ?
Miaka salasini hana ndevu kabisa na msisitizo umewekwa... watakua wamekutana😴Kijana katuangusha sana, kashindwa kuonyesha uanaume wake.
😂😂😂 afu nimemuona leo hapa JF kapostiwa, nikakumbuka uzi huu.Kama yupo Tanga ni huyo, hehehe