Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 683
- 1,111
uko salama hapo hujapata ngomaBaada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440 nyuma ikiwa na mzigo wa tani 26 ambao ndio jukumu langu kuhakikisha unafika destination husika.
Kwangu mimi sio kazi ni refreshment maana a trip with nature is very beautiful adventure safari yetu iliaanza ijumaa saa moja za usiku toka Dsm stori za hapa na pale ukweli ni zaidi ya adventure na vile kibunda kipo basi full kugombania kulipa bill pale tunaposimama kwa ajili ya chakula.
View attachment 3327879
Hatimae tukafika Tunduma jpili asubuhi kwa vile mzigo wetu ni special case tukapewa kipaumbele kufikisha kwenye ofisi za border tukafanya makabidhiano na maafisa wa border jukumu langu likawa limeisha nikatafuta sehemu nikaoga na kubadilisha nguo nikapiga menu na kupumzika kidogo.
View attachment 3327880
Sikuwa na haraka ya kurudi dar nikatenga kama siku mbili za kuexplore Tunduma ilikuwa mwendo wa mbuzi katoliki ugali na pombe kidogo sehemu niliyofikia Kuna barmaid nilimuelewa ila sikuwa na pupa kudeal naye nilipanga kumchombeza siku Moja kabla ya kuondoka ili tusizoeane kivile.
Siku Moja kabla ya kuondoka as usual nimeshiba nikaanza kupiga zangu lager taratibu huku jioni inaingia baada ya vitu kukaa nikamuita yule mrembo muonekane wake ni short chassis iliyoshiba nina experience nao hawa watu hawana kazi mbovu nikamwambia kuwa free agiza bibie mtoto hana gharama naye kaagiza local beer na kiepe stori za hapa na pale mi namzea mate balaa.
Saa saba hao mdogomdogo kwenye room niliyofikia ilikuwa ni experience ya sex tourism wote tulikuwa under influence ya alcohol kilichofanyika ni zaidi ya ufuska kinga ilitumika mara ya kwanza tu round zilizobakia ilikuwa nyama kwa nyama asubuhi ilivyofika nikampa fungu lake tukabadilishana namba Mimi huyo stendi kuanza kuitafuta Dar es salaam.
sijui yule Mwanamke alikuwa anafikiria nini.. alinitumia sms nanukuu "kwa nn jana umenitumia bila ya kondom mm mwenzako natumia dawa"
Me too.Mummy miss you
Huwezi amini Kuna mmoja niliona Juzi, naona umenitag naona kupata notification ni changamoto jamii forum wanazinguaMe too.
Huwa nakutag katika nyuzi ninazoanzisha ila huwa huju mpaka nakata tamaa my young!
Kuna mtu alinambia ni HIV positive lkn maambukizi yapo chini na kaolewa na ana mtoto hapo ndo nashindwa kuelewaNdio uwezekano upo.
Duh, pole mzee. Fika kituo cha afya kwanza, watajua cha kukushauri.Baada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440 nyuma ikiwa na mzigo wa tani 26 ambao ndio jukumu langu kuhakikisha unafika destination husika.
Kwangu mimi sio kazi ni refreshment maana a trip with nature is very beautiful adventure safari yetu iliaanza ijumaa saa moja za usiku toka Dsm stori za hapa na pale ukweli ni zaidi ya adventure na vile kibunda kipo basi full kugombania kulipa bill pale tunaposimama kwa ajili ya chakula.
View attachment 3327879
Hatimae tukafika Tunduma jpili asubuhi kwa vile mzigo wetu ni special case tukapewa kipaumbele kufikisha kwenye ofisi za border tukafanya makabidhiano na maafisa wa border jukumu langu likawa limeisha nikatafuta sehemu nikaoga na kubadilisha nguo nikapiga menu na kupumzika kidogo.
View attachment 3327880
Sikuwa na haraka ya kurudi dar nikatenga kama siku mbili za kuexplore Tunduma ilikuwa mwendo wa mbuzi katoliki ugali na pombe kidogo sehemu niliyofikia Kuna barmaid nilimuelewa ila sikuwa na pupa kudeal naye nilipanga kumchombeza siku Moja kabla ya kuondoka ili tusizoeane kivile.
Siku Moja kabla ya kuondoka as usual nimeshiba nikaanza kupiga zangu lager taratibu huku jioni inaingia baada ya vitu kukaa nikamuita yule mrembo muonekane wake ni short chassis iliyoshiba nina experience nao hawa watu hawana kazi mbovu nikamwambia kuwa free agiza bibie mtoto hana gharama naye kaagiza local beer na kiepe stori za hapa na pale mi namzea mate balaa.
Saa saba hao mdogomdogo kwenye room niliyofikia ilikuwa ni experience ya sex tourism wote tulikuwa under influence ya alcohol kilichofanyika ni zaidi ya ufuska kinga ilitumika mara ya kwanza tu round zilizobakia ilikuwa nyama kwa nyama asubuhi ilivyofika nikampa fungu lake tukabadilishana namba Mimi huyo stendi kuanza kuitafuta Dar es salaam.
sijui yule Mwanamke alikuwa anafikiria nini.. alinitumia sms nanukuu "kwa nn jana umenitumia bila ya kondom mm mwenzako natumia dawa"
Kuanza mbeya tu kuendelea kuna ngoma kali sanaNa ngwengwe ya Tunduma hukawii kuanza kukonda niko pale .
Kwaheri rafiki
Ogopa ,Ni za wachache sanaKuanza mbeya tu kuendelea kuna ngoma kali sana
Naomba kuuliza kwani mtu akitumia dawa Kuna uwezekano wa kupata maambukizi ? Wenye elimu Dr am 4 real PhD
Unajiambia potelea mbali....unavuka barabara uku umefumba macho yaan Kuna watu wameathilika ukimwona huwezi kumdhania yaan niliogopa Sana Sanaa 😊Unapima kwa macho kama mimi, huu ujinga sirudii nilikonda kwa stress mpaka nilipopima
Haaahaa 😆 ☺️ kinywaji changamshi ni jioni Tena kwa kiasi then nawahi nyumbani kujumuika na familia.Huyu daktari hata kuwa kwenye vinywaji changamishi kweli?
Kuna pisi zimenona zinavutia sana lakini zimeungwa gridi ya taifa ukijichanganya ndio basi tena.Unajiambia potelea mbali....unavuka barabara uki umefumba macho yaan Kuna watu wameathilika ukimwona huwezi kumdhania yaan niliogopa Sana Sanaa 😊
Kwani mzabzab anasema?
Jitahidi unavyoweza usithubutu kuiweka afya yako rehani hata mara moja hiyo ndiyo furaha pekee uliyonayo uwe una hela au hauna hela.Naomba kuuliza kwani mtu akitumia dawa Kuna uwezekano wa kupata maambukizi ? Wenye elimu Dr am 4 real PhD