A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi


Umeenda kazini mind ur own business!!!
 
Una enjoy vipi bila kuchakata?
 
Ukipata nafasi ntakuzingatia unipe elimu,

Achana na pombe kwanza ๐Ÿ˜‚ maake utanifanya hela ya kula nikainywee saa hz hapa ๐Ÿ˜‚
 
Naomba kuuliza kwani mtu akitumia dawa Kuna uwezekano wa kupata maambukizi ? Wenye elimu Dr am 4 real PhD
Rate ya maambukizi ya ugonjwa wowote yanatokana na virulence load ndani ya host, so kama mtu anatumia dawa vizuri virulence load ya mdudu ndani ya host upungua hata strains atakaokuwa akiusambaza kwa wengine makali yake upungua, mfano ukakutana na mwenza mwenye gonnorhea sugu utokan na kutoanza matibabu mapema aitha ni kutofahamu kam anamaambuzi au la despite of urethral or vaginal discharge, ukikutana na mtu kama huyu maambukizi yake utaambukizwa kwa haraka sana na utakapoanza matibabu utaitajika kupewa vidonge vya siku nyingi kwa sabb strains waliokushambulia wana virulence kubwa.
 
Naam tubezi kwenye hiv ambayo ni hatare zaidi, unakuta wapenzi au wengine wana ndoa mmoja anao mwingine Hana, lkn anasema kazaa watoto wasio na hiv na mwenza wake hajaambukizwa, akidai maambukizi yapo chini kwa kumeza dawa , lkn me huwa nikifkria bado naona kipengele sana aseeh

nna mtu wa karibu alinambia Hali ya kuwa ni born with hiyo ngoma nilitokwa mpk na machozi despite ni me, km mimi tuu aan sjui nilifkria nn lkn ndo hivyo
 
Hiyo ni kweli, ukiwa katika ARV therapy kwa wale waanga wa HIV, endapo utazingatia taratibu za kiafya kwa kunywa dawa kwa wakati kuzingatia lishe bora husaidia kupunguza uzito wa virus na kufanya kinga ya mwili kutokuwa compromised, na mwisho wa siku yul mweny positive ukija kupima utakuwa undectecte kiafaya tuna formula isemayo Undetected = Untransmittable, ikiwa inamaanisha kam kipimo kimeweza kuwa Specific bas hakuna uwezekano wa kuwa na maambukizi.
 
Na vipi ikatokea mwenye maambukizi ya chini akakutana na mwenye maambukizi ya juu inakuaje?

Na huyu mwenye maambukizi ya chini atasimamishwa kutumia dawa au atapunguza maybe kumeza kila siku ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ