Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 342
- 407
Hapo tunarudi pale mwanzo what matter is virulence load, mwenye maambukizi ya juu strain atakayo isambaza itakuwa kali na mwenye maambukizi ya chini (mwenye matumizi mazuri ya dawa na mazingatio ya kiafya) strain atakayoisamba endapo viral load yake haijawa bado Undetected atasambasa Strain wasio na makali sana.Na vipi ikatokea mwenye maambukizi ya chini akakutana na mwenye maambukizi ya juu inakuaje?
Na huyu mwenye maambukizi ya chini atasimamishwa kutumia dawa au atapunguza maybe kumeza kila siku ?
Shukrani boss, we ni daktari right? Nina maswaliHapo tunarudi pale mwanzo what matter is virulence load, mwenye maambukizi ya juu strain atakayo isambaza itakuwa kali na mwenye maambukizi ya chini (mwenye matumizi mazuri ya dawa na mazingatio ya kiafya) strain atakayoisamba endapo viral load yake haijawa bado Undetected atasambasa Strain wasio na makali sana.
Endapo mwenye maambukizi ya chini atakutana na mwenye maambukizi ya juu au viceversa ni kwamba mwenye maambukizi ya chini afya yake itadhoofika kinga ya mwili itashuka zaidi mwili wake utashindwa kuhandle strains mpya mwili utaitaj kufanya jitihafa za kipekee kuweza kuadapt wale strains walioingia kwa upande wa mwenye maambukizi ya juu kwake atazidi kuwa na maambukizi zaidi wale wa chini wataget mutant na kuwa the same as the strain around a population of his/he body.
Yeah Jali afya Yako.
Karibu sana mkuuShukrani boss, we ni daktari right? Nina maswali
Sisi tunakunywa spirit za kizalendo konyagi ndogo moja nimeimaliza hapa nawaza kua BILLIONAIRE π€£π€£ππUkipata nafasi ntakuzingatia unipe elimu,
Achana na pombe kwanza π maake utanifanya hela ya kula nikainywee saa hz hapa π
Itabidi siku niku join Ila ni cocktail kavu siwezi πSisi tunakunywa spirit za kizalendo konyagi ndogo moja nimeimaliza hapa nawaza kua BILLIONAIRE π€£π€£ππ
Asante sana mkuuKaribu sana mkuu
Pombe mzee. Pombe inaweza kukufanya umfukuze simba na jiwe.Duh mkuu ukala pisi ya tunduma kavukavu kweli nyege zinaweza kukupeleka sehem hata upewe heavy machine gun huwezi enda.
Usimsifu sana, kutembea peku na mtu usiyemjua ni kurisk sana maishaAnakupenda sana, amekuokoa! Ukikutana na mfuasi mzuri wa ARV hawezi kukuambukiza kwa urahisi maana mara nyingi viral load inakua sio kihivyo. Kongole
Mpwa unajua maana ya satire??Usimsifu sana, kutembea peku na mtu usiyemjua ni kurisk sana maisha
Sijui mpwa, nielekezeMpwa unajua maana ya satire??