Wacha wee, ππππMlevi mwenzangu huyu ila kwa heshima tu huwa tunajiita wanywajiπ π
Sasa mbna wee unakata kijibapa kidg na una type? Huogopiii? ππππMin_me hukataza kuchati uku unapata kinywaji changamshi π
Mbege ileUlanzi ni pombe? Km yess bas nakunywa.
Usijar, ni mtamu balaaa. ππππSijawahi onwards ila siku moja nitakunywa.
Kabisa mimi nilishatoa cv zangu humu kipumbavu sna kisa uleviπ€£π€£ sema now nakunywa hapa kistaarabu naonaa siku nzima hii nitakunywa tuπMin_me hukataza kuchati uku unapata kinywaji changamshi π
Siipendi km nn, naona km uji wq ulezi vile.Mbege ile
Nasikia unalegeza magoti eti?Usijar, ni mtamu balaaa. ππππ
Haujawahi pata ile yenyeweSiipendi km nn, naona km uji wq ulezi vile.
πππππ
Alcohol percentage of 35% hapo gawanya kwa 4.5 za safari sijui ni 5 haaahaa π πSafi hivi hiyo konyagi ndogo mtu akinywa ni kama bia ngapi za safari lager
Sio kivilee, ππππNasikia unalegeza magoti eti?
Coca upo strong πͺ eee mpaka unaweza kunywa MDINDIFU πππUsijar, ni mtamu balaaa. ππππ
Kabisa najivunia pombeWacha wee, ππππ
Labda utengenezaji wake, kule kwetu utadhani uji wa ulezi, sijawahi ipenda mbege mie.Haujawahi pata ile yenyewe
Mbege ni pombe ya kienyeji nzuri dunia yote ,kwa Tanzania ni pombe ya kienyeji pekee iliyopanda ndege kwenda kujithibitisha kwenye viwango vya kidunia.Labda utengenezaji wake, kule kwetu utadhani uji wa ulezi, sijawahi ipenda mbege mie.
Yaan upate ule mkangafuu wenyewe, bas nikilewa naanza kufoka foka, utasema vya maana.Coca upo strong πͺ eee mpaka unaweza kunywa MDINDIFU πππ
Wapi huko? Ila kina Meku kwa kujipaisha hamjambo, LolMbege ni pombe ya kienyeji nzuri dunia yote ,kwa Tanzania ni pombe ya kienyeji pekee iliyopanda ndege kwenda kujithibitisha kwenye viwango vya kidunia.
Umekumbusha projection motion , unaonekana ulikua mkali wa hizi kazi sana π€Yaan upate ule mkangafuu wenyewe, bas nikilewa naanza kufoka foka, utasema vya maana.
Kuna siku nililewa nikaanza shuka desa za Projectile motion, watu wanacheka hatarii, najiona lecturer kabisa. Nisiropoke ningekua mwalimu sifundishi na kitabu,
Kumbe mama yuko ananitazama tyuu, zilipoisha nguvu za ulanzi, anasema usirudie kulewa tena. πππππ
Mimi nausikiaga TU mdindifu kumbe una alcohol nyingi eeee π€Yaan upate ule mkangafuu wenyewe, bas nikilewa naanza kufoka foka, utasema vya maana.
Kuna siku nililewa nikaanza shuka desa za Projectile motion, watu wanacheka hatarii, najiona lecturer kabisa. Nisiropoke ningekua mwalimu sifundishi na kitabu,
Kumbe mama yuko ananitazama tyuu, zilipoisha nguvu za ulanzi, anasema usirudie kulewa tena. πππππ
Sio kujipaisha , unajua kina meku tukiongelea uhalisia wetu huwa tunaonekana hivyo , ndio maana mda mwingine tunajifanya matahira tu maisha yaende.Wapi huko? Ila kina Meku kwa kujipaisha hamjambo, Lol
πππππ
Wahaya ndio babalaoWapi huko? Ila kina Meku kwa kujipaisha hamjambo, Lol
πππππ