A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

Sio kujipaisha , unajua kina meku tukiongelea uhalisia wetu huwa tunaonekana hivyo , ndio maana mda mwingine tunajifanya matahira tu maisha yaende.
Aaah wapiii!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nausikiaga TU mdindifu kumbe una alcohol nyingi eeee 🀠

Mama aliweka a remarkable comment USIRUDIE KULEWA TENA😁
Wee ulanzi ule mkangafuu ni nomaa, sasa alikujaga mdogo wa shem kwetu, ile kuonja unanoga sukari, anasema sio pombe hii ni chai.

Kilichomkuta alienda kusimulia kwao, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila nikikumbukaa nachekaa had bas
 
Umetisha huyo dada huenda amekuelewa anataka aone ushujaa wako wa kikabiriana na mambo mazito KWA haraka
 
Wee ulanzi ule mkangafuu ni nomaa, sasa alikujaga mdogo wa shem kwetu, ile kuonja unanoga sukari, anasema sio pombe hii ni chai.

Kilichomkuta alienda kusimulia kwao, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila nikikumbukaa nachekaa had bas
Hatareee sanaa
 
Wapi wewe, ungekuwa umekula kitumbua kikavu bila chai usingehadithia hadithi hapa....
Lakini mi nilidhani kwakuwa kala kikavu na binti anatumia dawa ndio vizuri?

Maana naye dawa inamuingia hivyo wanapona wote, au ?

Binafsi nashauri aendelee kula vyenye dawa visivyo nadawa vitamdhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…