This is what we call Matured Politicians
Yaani Rais hana wasi wasi kabisa Odinga, Sio siasa za akina Nape Nauye kutwa kuzodoana na kutengenezeana maskendo yasiyoisha
Bungeni yanasabottage mpaka katiba, They are insecure na kile walichokifanya! Eti mkanda wa kupanga mauaji? Kweli Rwakatare anaweza kuwa mzembe kiasi hicho, kama sio akili isiyoona mbele ya aka Yonaz SAVIMBI