Huna tofauti na wapumbavu wengine,hufananii kuwa plzt kulalalekiš¤Pole sana. Kama nawe ni mtoto wa dada au mjomba, lazima utakuwa umeumia sana tu. Lakini usijali sana maisha ndivyo yalivyo.
Kwa kuwa bado u kijana mdogo, usikate tamaa, bahati inaweza ikakugongea hodi tena na ukaweza kubahatisha na kababa mdogo.
Na kweli umeumia kijana na nazidi kukupa pole. Umemuona Kakurwa hapo juu, nadhani yeye kaumia zaidi yako. Kwa hiyo endelea kukaza moyo, wapo walioumia zaidi yako. Dunia mviringo bwana mdogo!Huna tofauti na wapumbavu wengine,hufananii kuwa plzt kulalalekiš¤
JiziHamumfahamu Dr Bashiru kaeni kimyaaaa..
Nyie jamaa ni wachawi ? mlijuaje ?
View attachment 1737163...View attachment 1737221
Surely a picture is worth a thousand words...need I say more?