A Place to Meet, Learn and Create Innovative Products

PlanckScale

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
550
Reaction score
169
Salamu wandugu.

Nimeombwa na marafiki ambao wanatafuta kuwekeza kwenye innovation/incubation of ideas and local product development. For artist, technologists, engineers, application developers, etc.

The Idea ni kuwa na sehemu ambayo itawapa fursa like-minded people kubadilishana mawazo na kutengeneza prototypes, and may be realizing commercial opportunities, and possible funding.

Jee wewe ni mtu ambae unahitaji opportunity ya kushea ideas na kutengeneza something tangible and real? A place to test your idea, practically?

Au wewe ni mtu mwenye experience ya ku-lead innovation program au ku-nature talents and ideas?
 
Nina idea kubwa sana ila inahitaji seriousness ya hali ya juu na makubaliano makali sana kwani ni revolutionary na litakuwa mkombozi kwenye renewable energy duniani kote. Shida ni kupata mtu wa kuunganisha na makampuni makubwa kuweza kulinda idea kwani pamoja na kuwa idea ni amazing pia ni rahisi kuibiwa. Kutengeneza prototype siyo ghali sana, only a few million TShs. Shida ni protection of the idea itself.
 
Swali zuri ingawa liko nje kidogo ya hii hoja.
Jee umesha fwatilia copy right na patent laws za hapa nchini? Kama idea yako haiwezi kuwa patent basi kuilinda itakua ngumu. Kama inabidi kutafuta mfadhili wa nje, basi itabidi uangalia sheria za intellectual rights za hiyo nchi ya mfadhili.

Jamaa zangu wanataka kufocus na vitu ambavyo vitatengenezeka hapa hapa nchini. Hata kama material zitatoka nje, final product itazalishwa hapa hapa bongo.

Lakini nitumie message tuongee zaidi.
 
Back
Top Bottom