A Political Revolution in Kenya

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
Jinsi Mapinduzi yanavyotokea Kenya huku sisi bado tunaimba na kucheza kama watoto!!
Katiba mpya inahitajika haraka!! Lakini tatizo sisi bado tupo nyuma kiakili mno. Watu wengi hawajui umuhimu wa Katiba mpya. Hivyo ni muhimu kuanza na elimu ya uraia. Ama sivyo tutakuja na Katiba mpya isiyobadilisha kitu chochote!!


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…