A political watchdog: Humphrey Polepole mzalendo anakayekwenda kusimamia uwajibikaji ndani ya Bunge na kuripoti kwa Rais

You are very wrong, huyu mtu ni mlengwa wa wizara ya habari, michezo na sanaa. Kumbuka aliratibu wasanii wakati wa kampeni kwa kiwango cha kumridhisha mtukufu.
 
Kwenye hiyo Publication yako.....ulitumia model ipi....au maelezo yasiyokuwa na kichwa wala miguu kama ulivyoaandika hapa.
 
Bandiko refu nikadhani lina maana. Yaani Polepole ndio awe anaripoti kwa rais eti nani anafanya nini? Kwa maana bila Polepole rais hawezi kujua mbunge gani anafanya nini? Kama ni hivyo basi hujui mfumo wa serikali unafanyaje kazi. Rais hahitaji Polepole bungeni ili amsaidie kuwaangalia wabunge wanafanya nini. Bungeni kuna maafisa kificho wengi ambao hata Polepole hawajui, bungeni yupo PM, wapo waNEC wa chama, wapo mawaziri waandamizi wanaongea na rais kila siku, wapo wajumbe wa Kamati Kuu ambao pia wanaingia baraza la mawaziri. Polepole kateuliwa kulipa fadhira ya kile alichokifanya katika uchaguzi mkuu. Na hutashanga kama ambavyo sitashangaa nafasi yake ya usemaji wa chama akapewa mtu mwingine. Time will soon tell and prove you wrong.
 
Uneandika upumbafu mreefu mpaka nimechoka kuusoma
 
Hivi unapoongelea Polepole ni Mzalendo unamaanisha nini hasa? Binafsi napata tabu sana kuelewa Kwanini umemuita Polepole Mzalendo.

Labda ili tuwe na uelewa wa pamoja tunaomba utupe tafsiri ya neno Mzalendo na uzalendo unahusianaje na Polepole?
 
Njaa mbaya sana.
 
Sioni hata umuhimu wa hilo Bunge... kila kitu kitatoka serikali, wao watagonga meza, na kurudisha kwa utekelazaji. Hizi jitahada za kulifanya lionekane relevant ni kujilisha upepo.
Dua la kuku halijawahi kumpata mwewe, vivyo hivyo kwenu washindwa, hamuoni jema hadi siku ya mwisho wa maisha!
 
MH MAGUFULI HUYU KIJANA HANA AJIRA ANAOMBA UMSAIDIE.

lasier Mbena
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business
-Master of Leadership and Management.

MBENA Kwetu ni tusi kubwa sana.
Hata Capo Delgado, huku kwetu ni MATUSI yasiyosemeka hadharani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…