Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Useless kabisaaA lot of eastern Europe after suffering under Soviet oppression chose to join NATO in fear and for protection from future invasions by Russia, which with Ukraine proved their fears correct.
Russia is acting like a bully instead of being diplomatic to it's neighbors, further pushing them into NATO'S hands.
Kudos to Zelensky he has exposed unseen weaknesses of Russia.
PUseless kabisaa
ila we jamaa una shoboDESPITE OF ALL SHORTFALLS , HE IS STILL STANDING AS A MAN AMONG STANDING MEN... A real true meaning of a man .
View attachment 2280116
Huyu Zele unayemwita mwanaume wa shoka si chochote wala lolote.DESPITE OF ALL SHORTFALLS , HE IS STILL STANDING AS A MAN AMONG STANDING MEN... A real true meaning of a man .
View attachment 2280116
Tanzania ilipovamiwa na uganda kipindi 1970s kwa minajili ya kukwapua mkoa wote wa kagera uwe miliki ya uganda , je wakati ule hayati nyerere ulimuonaje....?Huyu Zele unayemwita mwanaume wa shoka si chochote wala lolote.
Ameruhusu nchi yake kuwa uwanja wa maonesho ya silaha za magharibi kwa gharama ya jasho la damu la wananchi wa Ukraine.
Silaha kali na yenye nguvu katika vita yoyote ile ni meza ya mazungumzo.
Lakini kwa vile alitaka kuwaridhisha mabwana zake, alipuuza mazungumzo na akaruhusu hayo yatokee.
Mfano wako hauna mantiki.Tanzania ilipovamiwa na uganda kipindi 1970s kwa minajili ya kukwapua mkoa wote wa kagera uwe miliki ya uganda , je wakati ule hayati nyerere ulimuonaje....?