A recently married Couple visits Kilimanjoaro mountains dressed in their wedding gown

A recently married Couple visits Kilimanjoaro mountains dressed in their wedding gown

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
A recently married Couple visits Kilimanjoaro mountains dressed in their wedding gowns
 
Attachments

ha ha ha kila shetani na mbuyu wake......
 
Mkuu unaugomvi na Geoff? hahahahahahahah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Halafu wanafanana utafikri mtu na dada yake!? Ajabu na kweli.
 
.........mhhhhhhhhhhh!! Mungu kaumbaaaaaa.
 
Nguli please man

Plz? inakuwaje mazee watu wamependeza hao plz inakujaje hapo?

Mkuu unaugomvi na Geoff? hahahahahahahah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hapana! Geof sio mfupi wala mwembamba na mshiki sio black

Mbona wamependeza au vipi kwani????

Mbona unauliza swali na kujijibu?

Halafu wanafanana utafikri mtu na dada yake!? Ajabu na kweli.

Wapenzi huwa wanafanana wakipendana na kudumu muda mrefu.
 
Hii suti jamaa amefanya Ku-WELD.

Ila siyo siri, jamaa ni kama Wakuchongwa vile. Sasa usiombe umkute kaisimamia kama waendesha basikeli kwenye kilima, hahahahaaaa Si Nkyezo bwana!!!!!
 
Hii suti jamaa amefanya Ku-WELD.

Ila siyo siri, jamaa ni kama Wakuchongwa vile. Sasa usiombe umkute kaisimamia kama waendesha basikeli kwenye kilima, hahahahaaaa Si Nkyezo bwana!!!!!

Ha ha ha ha ha
icon10.gif
 
I can see a lifetime bond here. Hii ni ndoa halisi, huwezi kusikia habari za kufungua kesi ya talaka wala kugawana mali waliyochuma pamoja hapa! And they lived happily ever after.
 
jamani mimi nikiclick kwenye attachment napelekwa kwenye ukurasa wa JF (home) na ningependa sana kuiona hiyo picha
 
jamani mimi nikiclick kwenye attachment napelekwa kwenye ukurasa wa JF (home) na ningependa sana kuiona hiyo picha
Kwikwi imeanza tena...wacha nipeleke taarifa kwa wenye mji.
 
Imetulia sasa preta.
attachment.php

asante mkuu imetulia sasa...hii ndio maloveee ya ukweli...ila huyu bibi harusi hiyo miwani inahusu..hivi kumbe bi harusi si lazima kuvaa mchuchumio!! imetulia sana
 
mmh mbona hii picha kama imekuwa doctored?
 
Back
Top Bottom