Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!