A.S Monaco nini kimewasibu?

A.S Monaco nini kimewasibu?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Miaka mitatu iliyopita ilikuwa mabingwa wa league 1..

Baada ya kuondokewa na wachezaji wake mahiri hali yao imekuwa mbaya sana. Wamiliki wa hii club walifanya makosa kuuza wachezaji was nyota bila kufanya replacement. Hii ni moja ya club kubwa pale ufaransa.
Screenshot_20181007-213707.jpeg
 
simple and clear wanauza bila kununua au kuproduce new talents
Mendy
Silva
Lemar
Mbappe
Bakayoko
Moutinho
Balde

cheki hiyo list halafu compare na waliobaki sasa utanielewa
 
Wata gain momentum ligi ikikaribia mwishoni na hatimae kushika nafasi ambazo si stahili yake kama 10 au 13
 
Wamechana mikeka yangu mingi acha wapotee,na yule dogo was kirusi waliyemsajili kutoka CSKA Moscow alizingua kuja Chelsea akaona kule ataenda kuweka ufalme wake,lazima nadhani anajuta sahizi
 
sababu inayoweza kuwa inachagiza timu iwe na strategy kama hiyo ni mapato madogo ya ligi husika and at same time mpo kucompete na ligi na timu zenye uwezo mkubwa. Ligi kuu ya uingereza kuonyeshwa kwake tu kwenye Television gharama yake ni pauni Bilioni tano ambayo ni zaidi trilioni kumi na tano za kwetu, sasa fanya comparison hao league one wana pocket sh ngapi kwa kuonyeshwa kwenye TV halafu uwaweke at par .Na pesa ni muhimu katika suala la maslahi yenye uwiano na club nyingine, matumizi ili kuendana na wakati n.k Kwa hiyo utaona kuwa wanakuwa forced kwenye namna hizo za mapato ili wasipigwe na gap la hatari
 
Back
Top Bottom