sababu inayoweza kuwa inachagiza timu iwe na strategy kama hiyo ni mapato madogo ya ligi husika and at same time mpo kucompete na ligi na timu zenye uwezo mkubwa. Ligi kuu ya uingereza kuonyeshwa kwake tu kwenye Television gharama yake ni pauni Bilioni tano ambayo ni zaidi trilioni kumi na tano za kwetu, sasa fanya comparison hao league one wana pocket sh ngapi kwa kuonyeshwa kwenye TV halafu uwaweke at par .Na pesa ni muhimu katika suala la maslahi yenye uwiano na club nyingine, matumizi ili kuendana na wakati n.k Kwa hiyo utaona kuwa wanakuwa forced kwenye namna hizo za mapato ili wasipigwe na gap la hatari